Hatari tupu…!! BASKET MOUTH alivyoitikisa Tanzania – 31/12/2017 (Video)

15
18

>>Download this Video Now<<

Duration: 37:54
Wasakatonge New Year’s Eve Comedy Gala ni tamasha kubwa la kimataifa la Comedy lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, Tanzania usiku wa mwaka mpya (31/12/2017).

Baadhi ya wasanii waliotikisa jukwaa hilo ni pamoja na Dogo Pepe, MC Pilipili, Kokoro kutoka Mombasa, Prof. Hamo kutoka Nairobi, Basket Mouth kutoka Nigeria pamoja na wasanii saba chipukizi waliopatikana kupitia usaili uliofanywa na Azam TV

Visit Youtube source

15 COMMENTS

  1. This is stand-up comedy. Very articulate, knowledgeable and composed! Hawa wenzetu hivi vitu husomea, sio lazima upate digrii la! Hata tailor made programs zinawezesha sana kwasababu zinakufanya ujaribu mambo mapya. Vichekesho vyote vya huyu jamaa vina akili. Sio cheap stupid"funny" and most of the times abusive stuff! Vijana wetu wanatakiwa kujifunza hapa!

  2. That one about finger prints is true. I was sleeping and my girlfriend brought my phone close to my thumb and place my finger on it, my phone opened and she saw everything. The next morning her face was like a lorry, she told me everything she saw, and I knelt down to beg her o.